14 Jul 2026 1:12 pm | Citizen TV 2,963 views Duration: 1:33 Polisi katika eneo la Kayole wanachunguza mazingira ya kifo cha msichana mwenye umri wa miaka 19, Bellacah Wambui Kamau, ambaye inadaiwa alianguka kutoka ghorofa ya juu katika mtaa wa Kayole Kamatuto siku ya Jumamosi.