- 19,385 viewsDuration: 5:59Shughuli ya kuhesabu kura imeanza katika eneobunge la Mbeere North ambako maafisa wa polisi jioni hii wamekabiliana na baadhi ya vijana waliotaka kuvamia kituo cha kuhesabia cha Siakago Social. Hii ni kufuatia madai ya muingilio wa uchaguzi huo