8 Oct 2025 1:08 pm | Citizen TV 7,230 views Duration: 1:37 Polisi mtaani Kayole wamewatia nguvuni washukiwa watano wa ujambazi na kupata bastola moja katika operesheni hiyo.