3 May 2026 8:18 pm | Citizen TV 839 views Duration: 43s Maafisa wa polisi katika barabara kuu ya Thika - Garissa wamezuilia basi lililokuwa libebeba shehena ya silaha zilizohofiwa kuwa tisho kwa usalama. Miongoni mwa silaha zilizonaswa kwenye basi hilo.