Skip to main content
Skip to main content

Polisi wasema hawajapokea ilani yoyote ya maandamano ya Sabasaba

  • | KBC Video
    10,807 views
    Duration: 1:54
    Huduma ya kitaifa ya polisi imetangaza maandamano yoyote yanayopangwa kuandaliwa kesho katika kaunti ya Nairobi kuwa kinyume cha sheria, kwani hakuna notisi iliyowasilishwa. Kamanda wa polisi eneo la Nairobi Isa Mohamud amesema usalama umeimarishwa jijini na katika kaunti jirani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive