Skip to main content
Skip to main content

Polisi washukiwa kwa visa 125 vya mauaji na utekaji nyara

  • | Citizen TV
    1,712 views
    Duration: 3:33
    Shirika la Missing Voices limetoa ripoti kuhusu visa vya mauaji na utekaji nyara pamoja na dhulma kutoka kwa maafisa wa polisi. Ripoti hiyo inasema kuwa mnamo mwaka 2025, visa 131 vya mauaji na watu kutoweka katika njia tatanishi vilirekodiwa. Kati ya visa hivyo, 125 vilisababisha na maafisa wa polisi. Miezi ya Juni na Julai mwaka 2024 ilishuhudia visa vingi vya mauaji ambapo vifo 68 viliripotiwa.