21 Nov 2025 1:10 pm | Citizen TV 8,076 views Duration: 2:11 Jaribio la polisi kuzuia mkutano wa siasa wa mrengo wa upinzani mjini Malava liliambulia patapu baada ya wafuasi wa upinzani kuwafurusha polisi hao.