15 Sep 2026 1:23 pm | Citizen TV 8,235 views Duration: 1:16 Polisi wamegundua shamba la bangi lenye ukubwa wa ekari tatu katika eneo la Mwingi, Kaunti ya Kitui. Bangi hiyo inakadiriwa kuwa na thamani ya takriban Sh60 milioni, huku mshukiwa wa biashara hiyo akitoroka.