Skip to main content
Skip to main content

Rafael Tuju alazwa hospitalini huku kesi ikisubiriwa

  • | Citizen TV
    10,752 views
    Duration: 4:35
    Waziri wa zamani Rafael Tuju amelazwa katika hospitali ya karen hapa jijini Nairobi huku akisemekama kuwa katika hali mbaya ya afya. Hii ni licha ya kuwa chini ya ulinzi wa Polisi kufuatia kukamatwa kwake jumatatu baada ya kujitokeza kutoka mafichoni. Mawakili wake walielekea mahakamani kutafuta agizo la kutokamatwa kwake. Mahakama itaamua siku ya Jumatano iwapo Tuju atajibu shtaka la kutoa taarifa za uongo kwa polisi iwapo atafika au hatofika mahakamani