Skip to main content
Skip to main content

Raia wa Tanzania zaidi ya milioni 37 wanapiga kura leo

  • | Citizen TV
    11,814 views
    Duration: 1:54
    Wapiga kura zaidi ya million 37 waliosajiliwa nchini tanzania wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu leo hii. Rais Samia Suluhu Hassan anamenyana na wapinzani wenza kumi na sita kutetea wadhifa wake kwa tikiti ya chama cha mapinduzi kinachotawala sasa.