- 24,012 viewsDuration: 2:35Raia wa Uholanzi aliyeonekana kwenye video akimtusi na kumdhalilisha Afisa wa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Diani, sasa atafukuzwa nchini kutokana na utovu wa nidhamu na kukiuka sheria za nchi. Kamanda wa Polisi wa eneo la Msambweni, Robinson Lang’at, amewaonya raia wa kigeni dhidi ya kuvunja sheria za Kenya na kuwataka kuwaheshimu wakenya wote