10 Oct 2025 1:05 pm | Citizen TV 1,361 views Duration: 1:25 Rais William Ruto amewaongoza wakenya kwenye sherehe za sikukuu ya mazingira kwa kupanda miti katika shule ya upili ya statehouse hapa jijini Nairobi.