Rais asisitiza umuhimu wa uchumi wa majini

  • | Citizen TV
    175 views

    Rais William Ruto amesisitiza umuhimu wa uchumi wa majini katika uzalishaji wa chakula cha kutosha huku ulimwengu ukijiandaa kwa kongamano bahari litakalofanyika mwezi machi mwaka ujao