Rais atetea sheria ya fedha

  • | Citizen TV
    3,883 views

    Rais William Ruto ameendelea kutetea sheria tata ya fedha huku wakenya kwa siku ya pili wakiendelea kushuhudia gharama ya juu ya mafuta. Rais aliyehudhuria ibada katika eneobunge la molo amesema kuwa, japo mapendekezo yake yalizua hisia, wakenya wote walihusishwa. Na kama anavyoarifu Chemutai Goin, mwanasheria mkuu justin muturi anatarajiwa kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu uliositisha kwa muda itekelezwaji wa sheria hiyo.