Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amtunuku Hayati Raila Odinga tuzo ya juu zaidi nchini ya (CGH)

  • | TV 47
    918 views
    Duration: 2:19
    Rais William Ruto amempa Hayati Raila Odinga tuzo ya heshima ya juu zaidi nchini, Chief of the Order of the Golden Heart (CGH), siku moja baada ya mazishi yake huko Bondo, Kaunti ya Siaya. Rais Ruto alimwelezea Raila kama shujaa wa taifa aliyeipenda Kenya, mzalendo aliethamini amani na utulivu, akisema aliitanguliza nchi mbele ya maslahi yake binafsi. #TV47Matukio #TV47News #MashujaaDay2025 Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __