Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Venezuela ashikwa mateka

  • | Citizen TV
    25,773 views
    Duration: 3:11
    Marekani imefanya operesheni ya kijeshi usiku kucha nchini Venezuela na kumkamata Rais Nicolás Maduro pamoja na mkewe, Cilia Flores. Shambulio hilo la Marekani limezua shutuma kali kutoka kwa jumuiya ya kimataifa na kuzua hofu ya kuongezeka kwa machafuko katika eneo hilo. Rais Maduro anatazamiwa kufunguliwa mashtaka nchini Marekani