Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amtunuku Raila Odinga hadhi ya juu ya Golden Heart kwenye sherehe za mashujaa

  • | Citizen TV
    9,128 views
    Duration: 3:02
    Hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga ametuzwa hadhi ya juu zaidi kwenye sherehe za mwaka huu za Mashujaa. Rais William Ruto akimpa hadhi ya juu zaidi ya Golden Heart kwa mchango wake kwa Kenya. Ruto aliongoza sherehe za Mashujaa kwa kukumbuka mchango wa Raila kwa taifa