Rais Ruto asema hatakubali kuwahonga majaji ili waegemee upande wake

  • | K24 Video
    78 views

    Rais William Ruto ameendelea kushikilia msimamo wake kwamba hataruhusu watu binafsi wakishirikiana na maafisa wafisadi katika idara ya mahakama kuhujumu miradi ya serikali yake. Akizungumza wakati alipozindua miradi ya ujenzi wa nyumba za serikali katika kaunti ya Uasin Gishu, rais amesema kamwe hatawahonga maafisa wafisadi katika mahakama kama wanavyofanya watu wanaopinga serikali yake. Hata hivyo Ruto ameapa kuwakabili wafisadi mahakama