1 Nov 2025 8:16 pm | Citizen TV 3,191 views Duration: 1:48 Rais William Ruto amekariri msimamo wake wa kusambaza maendeleo katika kila pembe nchini kama njia mojawapo ya kuboresha uchumi wa taifa kwa siku za usoni.