Rais Ruto atoa hotuba kuhusu mauaji ya wanawake nchini

  • | Citizen TV
    1,072 views

    Rais William Ruto amefanya mkutano na viongozi wanawake kuhusu visa vya mauaji ya wanawake ambavyo vimekithiri nchini. Rais amewahakikishia viongozi hao kuwa serikali itahakikisha mauaji hayo yanakomeshwa na wahusika wanakabiliwa vilivyo kupitia mkono wa sheria.