Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atoa onyo kali kwa majangili wa Baringo, ahimiza umoja kupitia ushirikiano na Gideon Moi

  • | Citizen TV
    4,345 views
    Duration: 2:55
    Rais William Ruto ametoa ilani kali kwa majangili katika maeneo ya Baringo kusalimisha bunduki zote wanazomiliki kinyume cha sheria, la sivyo watakabiliwa. Akizungumza katika ziara ya kaunti ya Baringo leo, Rais Ruto pia alipigia debe ushirikiano wake na mwenyekiti wa KANU Gideon Moi, akisema utaunganisha taifa na kuwaleta Wakenya wote pamoja,