10 Dec 2025 7:41 pm | Citizen TV 1,532 views Duration: 1:18 Rais William Ruto amewahakikishia wakenya Kwamba maelezo yao ya afya hayatatumwa Marekani huku akitetea Makubaliono ya afya ya hivi majuzi kati ya Kenya Na Marekani