- 15,920 viewsDuration: 4:31Rais William Ruto ameonya kuchukua hatua dhidi ya wale wanaomiliki bunduki kinyume cha sheria, akiwaagiza wasalimishe silaha hizo kwa polisi au viongozi wa kidini. Akiwa kwenye eneo la bonde la Kerio kwa ibada iliyohusisha madhehebu mbalimbali kuombea kudumu kwa amani baada ya miaka mingi ya ujambazi na mizozo ya wizi wa mifugo, rais Ruto alisema serikali itatumia raslimali zote inazoweza kupata kuhakikisha silaha zote zinazomilikiwa kinyume cha sheria zinarejeshwa tena serikalini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive