- 11,568 viewsDuration: 1:32Kiongozi wa upinzani nchini uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amemshutumu rais Yoweri Museveni kwa kudanganya wananchi na kung’ang’ania madaraka kwa takriban miaka 40. Katika mahojiano maalum, Bobi Wine amesema kampeni zake zimekumbwa na vitisho na unyanyasaji kutoka kwa vyombo vya usalama, akidai kuwa hali hiyo inalenga kudhoofisha upinzani kabla ya uchaguzi. @shuayib.ibrahim alifanya mazungu na @bobiwine - - #bbcswahili #uchaguziuganda2026 #siasa #bobiwine #museveni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw