- 153 viewsDuration: 2:40Rais William Ruto amewapuuza wakosoaji wa Serikali kuhusu hatua ya serikali yake ya kuendelea kuanzisha miradi muhimu na safari zake za kigeni. Akizungumza baada ya kuzindua mradi wa uwekezaji wa shilingi bilioni 3.8 wa Barabara ya Ngong-Naivasha Flyover, rais alisema kwamba hatasita kuzindua miradi muhimu ikiwa ni pamoja na barabara katikati ya mji mkuu huku akiwahimiza Wakenya kuwapuuza wale wanaopinga miradi kama hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive