Rais William Ruto ameonya kwamba maendeleo ya nchi yanaweza kuhujumiwa na viongozi ambao shughuli yao kuu ni kutafuta nyadhifa za mamlaka makubwa.Wakati wa ziara yake ya kikazi katika kaunti ya Siaya, Rais alikosoa tena upinzani,akisisitiza kwamba wanaunda upya miungano, vyama vya kisiasa na kaulimbiu zinazopendwa na wananchi, ambazo lengo lake kuu ni kutwaa mamlaka kwa manufaa yao wenyewe. Achola Simon ana taarifa zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive