Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awatahadharisha vijana dhidi ya kuyumbishwa na shinikizo la wana rika

  • | KBC Video
    238 views
    Duration: 4:08
    UWAJIBIKAJI NI UKAKAMAVU Rais William Ruto amewatahadharisha vijana dhidi ya kuyumbishwa na shinikizo hasi la wana rika, akionya kuwa uhuru bila uwajibikaji ni utepetevu wa hali ya juu. Akizungumza wakati wa makala ya 95 ya msafara na ukaguzi wa kila mwaka wa shirika la St John Ambulance Kenya katika ikulu ya Nairobi, kiongozi wa taifa alikariri haja ya wajibu wa kiraia na uwajibikaji. Matamshi yake yanajiri huku kukiwa na madai ya kuandaliwa kwa maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 25, mwezi huu ya ukumbusho wa wale walioangamia wakati wa maandamano ya kupinga muswada wa fedha wa mwaka-2024. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu anatuarifu zaidi. #DarubiniWikendi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive