Rais Ruto na Wandani wake wakosoa chama cha Rigathi Gachagua DCP

  • | Citizen TV
    6,421 views

    Rais William Ruto ameendelea kumkashifu aliyekuwa Naibu wake Rigathi Gachagua kwa kile alisema ni kuendeleza siasa za ukabila na matusi, akiwataka viongozi nchini kuepuka siasa za mapema.

    Matamshi hayo yanajiri huku Naibu wake Prof. Kithure Kindiki pia akitaja chama cha Gachagua cha DCP kuwa cha kikabila.