Rais Ruto: Safari ya kupunguza gharama ya unga na ya maisha tayari nimeianzisha.

  • | KBC Video
    46 views

    President Ruto: Safari ya kupunguza gharama ya unga na gharama ya maisha tayari nimeianzisha... Wale walioharibu mambo ya unga mpaka ikafika shilingi 230 walikoroga hiyo mambo kwa miaka nne, mnipatie mwaka mmoja peke yake nitakuwa nimenyorosha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #TheGreatKBC