Skip to main content
Skip to main content

Rais Suluhu ashutumiwa na maseneta wa marekani kuhusu ukandamizaji

  • | Citizen TV
    4,089 views
    Duration: 3:14
    Maseneta wa ngazi ya juu wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni wa marekani , Jim Risch na Jeanne Shaheen wameishtumu serikali ya Tanzania kwa kuwakandamiza raia wake walioandamana kupinga uchaguzi uliogubikwa na unyanyasaji wa kisiasa, utekaji nyara, na udanganyifu. Maseneta hao wanasema kuwa rais Samia Suluhu Hassan ameshindwa kuendeleza mageuzi na demokrasia nchini humo, huku wakitaja uchaguzi wa Tanzania kama ambao uliosheheni udanganyifu na dhulma.