Skip to main content
Skip to main content

Rais, ukweli uko wapi?

  • | Citizen TV
    26,787 views
    Duration: 4:02
    Rais William Ruto ameendelea kutetea tofauti ya bei ya mafuta katika kanda ya Afrika mashariki, akitoa sababu za kwa nini bei nchini Kenya iko juu ikilinganishwa na mataifa mengine ya kanda hii. Rais akieleza kuwa hadhi ya kenya kiuchumi inaifanya iwe tofauti na baadhi ya mataifa ya afrika mashariki. Hata hivyo, swali ni je, kauli zilizotolewa na rais kuhusu ustawi wa mataifa mengine na hata miundomisingi yake zina ukweli kiasi gani?