- 729 viewsDuration: 3:15Rais wa chama cha wafanyabiashara nchini KNCCI , Erick Ruto, amewahakikishia wafugaji kutoka kaunti ya samburu na kaunti zingine upatikanaji wa soko la kigeni kwa mifugo wao,endapo watazingatia viwango vya masoko ya kimataifa