- 39 views
Kenya na Slovenia zimekubaliana kutekeleza juhudi za kuendeleza biashara na uwekezaji, kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na kuimarisha amani na usalama katika kanda hii . Kwenye mkutano wao katika ikulu ya Nairobi, rais William Ruto na mwenzake wa Slovenia, Natasa Musar , viongozi hao walisema kuna haja ya kudumisha amani katika eneo la upembe wa Afrika na jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Rais Musar, ambaye ni rais wa pili wa Slovenia kuzuru Kenya, atakuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku kuu ya Madaraka katika kaunti ya Homa Bay siku ya jumapili . Giverson Maina na maelezo zaidi.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Rais wa Slovenia azuru Kenya kwa mara ya kwanza
- - Duniani Leo ››
- 2 Jun 2025 - The government paid the penalties between 2020/21 to 2023/24 financial years.
- 2 Jun 2025 - Compensation of victims of police brutality during demonstrations was among issues ODM and UDA agreed to pursue in their deal.
- 2 Jun 2025 - Former Deputy President last week said he only wants his impeachment reversed and to be compensated.
- 2 Jun 2025 - President's speech disrupted in Kisii, Natembeya skips event and Mbarire accuses State officials of disrespecting her.
- 2 Jun 2025 - Finance Bill 2025 site: Activists demand the release of Rose Njeri
- 2 Jun 2025 - Deadly parasite mimics malaria, quietly claiming lives undetected
- 2 Jun 2025 - How Ngugi's pen landed him in prison and later sent him into exile
- 2 Jun 2025 - Old guards face rebellion as Western Kenya rethinks its future
- 2 Jun 2025 - Going back to the roots: State acts to save healing herbs
- 2 Jun 2025 - Ruto unveils score card, says his economic plan is bearing fruit