- 170 viewsRais William Ruto amehutubia Bunge la Tanzania leo, akiwarai wabunge hao kuidhinisha mpango wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta eneo la Tanga Tanzania ili kupunguza gharama ya mafuta katika eneo la Afrika mashariki. Rais amekuwa katika ziara ya siku mbili nchini