Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto atakamilisha ziara yake ya siku nne katika kaunti za Kisii na Nyamira leo

  • | Citizen TV
    1,105 views
    Duration: 40s
    Rais William Ruto atakamilisha ziara yake ya siku nne katika kaunti za Kisii na Nyamira leo..kiongozi wa taifa anatarajiwa kuzindua miradi kadhaa maeneo ya Bomachoge Chache, Mugirango Kusini na Bonchari.