Skip to main content
Skip to main content

Rashid na Lulu washinda tuzo ya wanahabari bora Afrika mara ya pili mfululizo

  • | Citizen TV
    383 views
    Duration: 1:19
    Watangazaji wa Citizen TV walitamba katika tuzo za Africa Golden Awards zilizofanyika usiku wa jana jijini Nairobi. Lulu Hassan alikabidhiwa tuzo ya mtangazaji bora wa kike barani Afrika huku Rashid Abdalla akiibuka mshindi wa tuzo ya mwanahabari bora wa kiume barani Afrika. Hii ni mara ya pili mfululizo kwa watangazaji hawa wa Nipashe Wikendi kushinda tuzo hizi. Watu zaidi ya themanini kutoka nchi mbali mbali barani Afrika walituzwa huku wengine wakikabidhiwa zawadi kem kem.