- 3,221 viewsDuration: 1:19Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua sasa anasema serikali imewahonga baadhi ya wagombea katika chaguzi ndogo zijazo. Hata hivyo, akizindua wagombea wa chama hicho hapa jijini Nairobi, gachagua anasema chama hicho kiko imara kupambana kwenye chaguzi zote na kushinda.