Ripoti ya tume ya kutetea haki za kibinadamu yatolewa kwenye mashtaka ya Shakahola

  • | Citizen TV
    307 views

    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu imeshutumu idara za usalama kwa kukosa kuchukua hatua hata baada ya taarifa kutolewa kuhusu yaliyokuwa yakijiri msituni Shakahola kabla ya mauaji kuripotiwa. Katika ripoti kuhusu mauaji hayo KNHCR imewataka wote waliohusika pamoja na wale waliokosa kutekeleza wajibu wao kuchukuliwa hatua za kisheria