Skip to main content
Skip to main content

Roketi ya SpaceX yakaa baharini zaidi ya mwezi

  • | BBC Swahili
    16,687 views
    Duration: 27s
    Roketi ya SpaceX ambayo imekuwa baharini tangu tarehe 24 Julai inavutwa kuelekea kwenye maji ya karibu na Christmas Island. Wahandisi wanajaribu kuirejesha baada ya kutua salama kwenye Bahari ya Hindi ikiwa bado nzima Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw