- 28,081 viewsDuration: 1:43Ni mwisho wa safari ya miaka 23 ya gwiji wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, akiwa na jezi ya timu ya taifa ya Ureno! Mshambuliaji huyo mkongwe ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa, akihitimisha safari iliyojaa mabao, rekodi na mafanikio makubwa. Ronaldo, mwenye umri wa miaka 41, anaondoka akiwa ameweka historia ya kufunga mabao 146 katika mechi 234 alizoichezea Ureno, rekodi ambazo hazijafikiwa na mchezaji mwingine yeyote katika soka la kimataifa. #bbcswahili #cristianoronaldo #ureno Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw