Skip to main content
Skip to main content

Ruai: Msichana mmoja azuiliwa kwa kuingiza vifaa vinavyodaiwa kunuia kusaidia wafungwa kutoroka

  • | NTV Video
    3,432 views
    Duration: 2:44
    Polisi eneo la Ruai wanamzuilia msichana mmoja aliyejaribu kuingiza vifaa vinavyoaminika kunuiwa kuwasaidia wafungwa kutoroka, kwa kuvificha ndani ya chakula. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya