Skip to main content
Skip to main content

Ruto aagiza msako dhidi ya wachuuzi wa kigeniKenya

  • | BBC Swahili
    23,684 views
    Duration: 1:21
    Rais William Ruto wa Kenya ameagiza msako dhidi ya wachuuzi wa kigeni na wageni wanaoendesha biashara ndogo ndogo nchini humo, huku akielekeza zoezi hilo kuanza Jumatatu, Septemba 7. Ruto aliwaambia wafanyabiashara wadogo katika mkutano uliofanyika Ikulu kwamba kuanzia wiki ijayo, wafanyabiashara wageni wanaojihusisha na biashara ndogo wanapaswa kuzifunga na akasisitiza kuwa biashara hizo zinapaswa kuwa za Wakenya. #bbcswahili #kenyantiktok🇰🇪 #williamruto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw