7 Jan 2026 7:26 pm | Citizen TV 1,241 views Duration: 36s Rais William Ruto ameagiza kujengwa kwa vituo vya serikali vya kurekebishia tabia kwa waathiriwa wa mihadarati na pombe kwenye kaunti zote nchini. Rais akisema kuwa hatua hii itasaidia pakubwa kudhibiti uraibu huo.