- 630 viewsDuration: 1:23Rais William Ruto ametetea mradi wake wa nyumba za serikali akisema itapunguza migogoro na ugavi wa mashamba. Rais akisema kuwa miradi hii itasaidia kuchangia ukuaji wa chakula cha kutosha nchini. Viongozi wa eneo la Magharibi waliokuwepo wakiahidi umoja wao kumuunga rais william ruto rais amezungumza kaunti ya vihiga alipohitimisha ziara yake ya siku nne ya eneo la magharibi.