Skip to main content
Skip to main content

Ruto aendelea kupigia debe miradi ya serikali yake akiwa kwa ziara yake ya siaya na migori leo

  • | Citizen TV
    934 views
    Duration: 1:41
    Rais William Ruto ameendelza na ziara yake katika eneo la Nyanza, hii leo akizuru kaunti za Siaya na Migori. Rais Ruto ambaye alipokelewa na gavana wa Siaya James Orengo amezindua miradi kadhaa katika eneo la Usenge huku akitarajiwa pia kuzuru eneo la Sori katika eneo bunge la Nyatike kaunti ya Migori. Rais Ruto amewataka wakenya kuunga mkono juhudi za serikali yake za kufanikisha miradi ya maendeleo katika sehemu tofauti nchini. aidha rais amesema kuwa yuko tayari kutimiza ahadi alizotoa ili wakenya wamchague tena kwa muhula wa pili kulingana na rekodi yake.