Skip to main content
Skip to main content

Ruto ahudhuria kongamano la hali ya hewa Addis

  • | Citizen TV
    420 views
    Duration: 59s
    Mataifa ya afrika na visiwa vya caribbean vinaendeleza msukumo wa kutaka haki na fidia katika mikakati yao ya kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Katika kongamano la afrika kuhusu hali ya hewa linaloendelea jijini addis ababa, ethiopia viongozi wameshinikiza kuwepo kwa usawa katika sera na mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kati ya mataifa tajiri na mataifa yanayoendelea.