Skip to main content
Skip to main content

Ruto aingilia mjadala wa masaibu ya Tuju akilaumu upinzani kwa kumpotosha

  • | Citizen TV
    15,216 views
    Duration: 2:00
    Rais William Ruto ameingilia mjadala kuhusu masaibu ya aliyekuwa waziri wa zamani Raphael Tuju akisema, Tuju anahitaji marafiki wa kweli kumsaidia na wala sio viongozi wa upinzani anaodai wanampotosha. Akizungumza wakati wa ziara yake huko Nyanza, Ruto pia alimtetee Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na kuwataka wanaomtaja kuhusiana na suala zima la Tuju kukoma. Haya yanajiri huku viongozi wa upinzani wakishtumu matamshi ya Rais na kudai huenda anahusika na mzozo unaoendelea kuhusiana na ardhi ya Tuju inayopigwa mnada kutokana na deni kutoka kwa Benki ya Maendeleo ya Afrika Masharik