- 3,071 viewsDuration: 3:30Rais William Ruto amekamilisha ziara yake ya kaunti za Nyanza na kuwataka Wakenya puuzilia mbali kile alichotaja kama kelele za upinzani. Rais Ruto amedokeza kuwa serikali yake ina miradi tosha ya maendeleo ya kumpa muhula wa pili.