Skip to main content
Skip to main content

Ruto akutana na viongozi wa Italia, ajadili uwekezaji na biashara Roma

  • | Citizen TV
    1,311 views
    Duration: 43s
    Rais William Ruto leo amekutana na Rais wa Italia Sergio Mattarella, kwenye siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.Rais Ruto amefanya mazungumzo ya kibiashara kabla ya mazungumzo zaidi na waziri mkuu wa nchi hiyo giorgio meloni. Ziara hii ya Rais Ruto inatarajiwa kufungua nafasi za uwekezaji wa sekta za miundo msingi haswa kufanikisha miradi ya mabwawa kama ya Arror, Kimwarer na Itare. Awali Rais aliweka shada la maua kwenye makaburi ya wanajeshi walioaga mjini Roma.