Skip to main content
Skip to main content

Ruto akutana na wadau wa usafiri Mombasa kujadili bei ya mafuta

  • | Citizen TV
    209 views
    Rais William Ruto kwa sasa anakutana na wadau wa sekta ya uchukuzi katika Ikulu ya Mombasa kujadili suala la kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Ruto, aliyerejea nchini leo kutoka Kazakhstan, alianza ziara yake katika kaunti za Mombasa na Kwale kabla ya kuelekea kwenye mkutano huo. Mkutano huo unajiri siku mbili baada ya mgomo wa sekta ya uchukuzi uliofanyika Jumatatu na Jumanne wiki hii.